Sunday, June 9, 2013

Ijuea Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Toleo la Rasimu ya Katiba limechapishwa kwenye Gazeti la Serikali kwa
mujibu wa kifungu cha 18(5) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya
83, kwa madhumuni ya kuwepo kwa wananchi kusoma na kutoa maoni zaidi
kwa Tume kuhusu maudhui yaliyomo kwenye Rasimu ya Katiba.
Dar es Salaam, JOSEPH S. WARIOBA,
3 Juni, 2013 Mwenyekiti wa Tume
Bofya hapa: http://www.katiba.go.tz/attachments/article/182/Rasimu%20_Final_%20(1).pdf

No comments: