Wednesday, February 8, 2012

Furahia picha ya babu na bibi

Kwa watoto, wajukuu, vitukuu na vining`na wa Isack ayengo,


Picha ya juu ni ya marehemu Isack Ayeng`o.
Picha ya chini, wa kwanza kushoto ni bibi Nyatito, katkikati ni bibi Dorca Jorego na kulia ni jirani yao ambeye kwa jina hatujamtambua.

No comments: