Wafutao wamependekezwa kuunda baraza la mpito litakaloongoza umoja wa Gwassi & Associates Group kwa kipindi cha mwaka mmoja.
1. Mwenyekiti ni ndugu Benjamini Ayeng`o
2. Makamo m/kiti ni ndugu Leo R. kissakwa
3. Katibu ni ndugu Peter Ong`wech.
4. Katibu msaidizi ni ndugu Derick Ochaka
5. Mtunza fedha ni ndugu Ernest Ayengo
6. Mtunza fedha msaidizi ni Judith Musa Ayengo
WAWAKILISHI WA KANDA:
1. Kinondoni: mwakilishi ni Mrs. Elizabeth Mgaka
2. Temeke: mwakilishi ni ndugu Thomas Omolo Masese
3. Ilala: mwakilishi ni ndugu Samora Bita.
Kumbuka kumalizia kulipa kiingilio na ada ya kila mwezi ambayo imeaanza kutolewa mwezi Januari 2012.
No comments:
Post a Comment